Romans 10:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo basi, imani inatokana na kuusikia ujumbe, na huo ujumbe unatokana na neno la Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hiyo imani hupatikana kutokana na kusikia Habari Njema. Na watu husikia Habari Njema wakati mtu anapowaeleza kuhusu Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo basi, imani inatokana na kuusikiliza ujumbe, na huo ujumbe unatokana na neno la Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo basi, imani inatokana na kuusikia ujumbe, na huo ujumbe unatokana na neno la Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi, imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo basi, imani inatokana na kuusikia ujumbe, na huo ujumbe unatokana na neno la Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, kumtegemea Mungu huletwa na matangazo, lakini matangazo hutoka katika Neno la Kristo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi basi imani inatokana na kusikia habari, na habari ile inatokana na neno la Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi imani, chanzo chake ni kusikla; na kusikia kunakuja kwa neno la Mungu.