Romans 10:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wala usiseme: ‘Nani atashuka mpaka kuzimu?’ (yaani, kumleta Kristo kutoka kwa wafu).”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“au ‘Ni nani atashuka kwenda Kuzimu?’ ” (yaani ili kumleta Al-Masihi kutoka kwa wafu).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
au, Ni nani atakayeshuka kwenda kuzimuni? (Yaani, ni kumleta Kristo juu, kutoka kwa wafu.)
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Na usiseme, ‘Nani atashuka hadi ulimwengu uliopo chini huko?’” (Hii inamaanisha “Nani atashuka chini na kumchukua Kristo na kumfufua kutoka mauti?”)
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wala usiseme: Nani atashuka mpaka Kuzimu (yaani, kumleta Kristo kutoka kwa wafu).”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wala usiseme: ‘Nani atashuka mpaka kuzimu?’ (yaani, kumleta Kristo kutoka kwa wafu).”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“au ‘Ni nani atashuka kwenda kuzimu?’ ” (yaani ili kumleta Kristo kutoka kwa wafu.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“au ‘Ni nani atashuka kwenda kuzimu?’ ” (yaani ili kumleta Al-Masihi kutoka kwa wafu.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
au, Ni nani atakayeshuka kwenda kuzimuni? (Yaani, ni kumleta Kristo juu, kutoka kwa wafu.)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wala usiseme: ‘Nani atashuka mpaka kuzimu?’ (yaani, kumleta Kristo kutoka kwa wafu).”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala usiseme: Yuko nani atakayeshuka kwenda kuzimuni? Huko ndiko kumpaza Kristo na kumtoa kwenye wafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
au, Ni nani atakayeshuka kwenda kuzimuni? (Yaani, ni kumleta Kristo juu, kutoka kwa wafu.)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wala usijiulize: “Ni nani atakayeshuka katika kuzimu?” (maana yake kumupandisha Kristo toka kule kwenye wafu).
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
au, Ni nani atakaeshuka kuzimuni? (yaani, ni kuleta Kristo juu, kutoka kwa wafu.)