Romans 11:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nipate kuwafanya wananchi wenzangu wawaonee nyinyi wivu, na hivyo nipate kuwaokoa baadhi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kuwafanya watu wangu waone wivu na hivyo kuwaokoa baadhi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nipate kuwatia wivu walio damu moja na mimi na kuwaokoa baadhi yao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Natarajia kuwafanya watu wangu wawe na wivu. Kwa njia hiyo, labda naweza kuwasaidia baadhi yao waweze kuokolewa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
nipate kuwafanya wananchi wenzangu wawaonee ninyi wivu, na hivyo nipate kuwaokoa baadhi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nipate kuwafanya wananchi wenzangu wawaonee nyinyi wivu, na hivyo nipate kuwaokoa baadhi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kuwafanya watu wangu waone wivu na hivyo kuwaokoa baadhi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kuwafanya watu wangu waone wivu na hivyo kuwaokoa baadhi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nipate kuwatia wivu walio damu moja na mimi na kuwaokoa baadhi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nipate kuwafanya wananchi wenzangu wawaonee nyinyi wivu, na hivyo nipate kuwaokoa baadhi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo labda nitawatia wivu walio ndugu zangu kimtu, nipate kuwaokoa mmojammoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nipate kuwatia wivu walio damu moja na mimi na kuwaokoa baadhi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu hii ninaweza kuwafanya watu wa taifa langu wawasikilie wivu, hata nipate kuwaokoa wamoja kati yao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Huenda nikapata kuwatia wivu walio damu moja na mimi na kuwaokoa baadhi vao.