Romans 11:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, msiwadharau wale waliokatwa kama matawi! Na, hata kama kuna la kujivunia, kumbukeni kwamba si nyinyi mnaoitegemeza mizizi, bali mizizi ndiyo inayowategemeza nyinyi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi usijivune juu ya hayo matawi. Lakini ukijivuna, kumbuka jambo hili: Si wewe unayelishikilia shina, bali ni shina linalokushikilia wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
usijisifu juu ya matawi yale; au ikiwa wajisifu, si wewe ulichukuaye shina, bali ni shina likuchukualo wewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini msienende kama mlio bora kuliko matawi yale yaliyovunjwa. Hamna sababu ya kujivuna, kwa sababu hamleti uhai katika mzizi. Mzizi ndiyo huleta uhai kwenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, msiwadharau wale waliokatwa kama matawi! Na, hata kama kuna la kujivunia, kumbukeni kwamba si ninyi mnaoitegemeza mizizi, bali mizizi ndiyo inayowategemeza ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, msiwadharau wale waliokatwa kama matawi! Na, hata kama kuna la kujivunia, kumbukeni kwamba si nyinyi mnaoitegemeza mizizi, bali mizizi ndiyo inayowategemeza nyinyi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi usijivune juu ya hayo matawi. Kama ukijivuna, kumbuka jambo hili. Si wewe unayelishikilia shina, bali ni shina linalokushikilia wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi usijivune juu ya hayo matawi. Kama ukijivuna, kumbuka jambo hili: si wewe unayelishikilia shina, bali ni shina linalokushikilia wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
usijisifu juu ya matawi yale; au ikiwa wajisifu, si wewe ulichukuaye shina, bali ni shina likuchukualo wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, msiwadharau wale waliokatwa kama matawi! Na, hata kama kuna la kujivunia, kumbukeni kwamba si nyinyi mnaoitegemeza mizizi, bali mizizi ndiyo inayowategemeza nyinyi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
usijivune kwao yale matawi! Lakini ukijivuna ujue: si wewe unaolipa shina nguvu, ila shina linakupa nguvu wewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
usijisifu juu ya matawi yale; au ikiwa wajisifu, si wewe ulichukuaye shina, bali ni shina likuchukualo wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi musizarau yale matawi yaliyokatwa. Ninyi hamuna cha kujivunia, kwa maana si ninyi munaoshikilia shina, lakini ni shina linalowashikilia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
usijisifu juu ya matawi; au ikiwa wajisifu, si wewe ulichukuae shina bali shina likuchukualo wewe.