Romans 11:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao Wayahudi, hali kadhalika; wakiacha utovu wao wa imani, watapandikizwa tena. Maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao nao wasipodumu katika kutokuamini kwao, watapandikizwa tena kwenye shina, kwa maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena kwenye hilo shina.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao pia, wasipokaa katika kutokuamini kwao, watapandikizwa; kwa kuwa Mungu aweza kuwapandikiza tena.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na kama Wayahudi watamwamini Mungu tena, yeye atawapokea tena. Ana uwezo wa kuwarudisha pale walipokuwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao Wayahudi, hali kadhalika; wakiacha utovu wao wa imani, watapandikizwa tena. Maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao Wayahudi, hali kadhalika; wakiacha utovu wao wa imani, watapandikizwa tena. Maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao nao wasipodumu katika kutokuamini kwao, watapandikizwa tena kwenye shina, kwa maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena kwenye hilo shina.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao nao wasipodumu katika kutokuamini kwao, watapandikizwa tena kwenye shina, kwa maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena kwenye hilo shina.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao pia, wasipokaa katika kutoamini kwao, watapandikizwa; kwa kuwa Mungu aweza kuwapandikiza tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao Wayahudi, hali kadhalika; wakiacha utovu wao wa imani, watapandikizwa tena. Maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wale watatiwa tena, wasipofuliza kuukalia ukatavu; maana Mungu yuko na nguvu ya kuwatia mle tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao pia, wasipokaa katika kutokuamini kwao, watapandikizwa; kwa kuwa Mungu aweza kuwapandikiza tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kama Wayuda wasipoendelea kukataa kuamini, watapandikizwa kwenye nafasi ile walipokuwa mbele, kwa maana Mungu yuko na uwezo wa kuwapandikiza tena.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hao pia, wasipokaa katika kulokuamini kwao, watatiwa, kwa maana Mungu aweza kuwatia temi.