Romans 11:29 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mungu akisha wapa watu zawadi zake na kuwateua, hajuti kwamba amefanya hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana akishawapa watu karama, Mungu haziondoi, wala wito wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu karama za Mungu hazina majuto, wala mwito wake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu habadili mawazo yake kuhusu watu anaowaita. Kamwe haamui kuzirudisha baraka alizokwisha kuwapa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Mungu akisha wapa watu zawadi zake na kuwateua, hajuti kwamba amefanya hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mungu akisha wapa watu zawadi zake na kuwateua, hajuti kwamba amefanya hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana akishawapa watu karama haziondoi, wala wito wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana akishawapa watu karama, Mungu haziondoi, wala wito wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu karama za Mungu hazina majuto, wala mwito wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mungu akisha wapa watu zawadi zake na kuwateua, hajuti kwamba amefanya hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Mungu hayajutii magawio na wito wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu karama za Mungu hazina majuto, wala mwito wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana Mungu habadilishi mafikiri juu ya zawadi anazotoa, wala juu ya wale anaowachagua.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu karama za Mungu na wito wake hazina majuto.