Romans 11:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Bwana, wamewaua manabii wako na kubomoa madhabahu yako. Ni mimi tu peke yangu niliyebaki, nao wanataka kuniua!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alisema, “Mwenyezi Mungu, wamewaua manabii wako na kuzibomoa madhabahu zako, nimebaki mimi peke yangu, nao wanataka kuniua?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, wamewaua manabii wako, wamezibomoa madhabahu zako, nami nimesalia peke yangu, nao wananitafuta roho yangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Bwana, wamewaua manabii wako na kuharibu madhabahu zako. Mimi ndiye nabii pekee niliyebaki hai, na sasa wanajaribu kuniua mimi pia.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Bwana, wamewaua manabii wako na kubomoa madhabahu yako. Ni mimi tu peke yangu niliyebaki, nao wanataka kuniua?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Bwana, wamewaua manabii wako na kubomoa madhabahu yako. Ni mimi tu peke yangu niliyebaki, nao wanataka kuniua!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alisema, “Bwana, wamewaua manabii wako na kuzibomoa madhabahu zako, nimebaki mimi peke yangu, nao wanataka kuniua?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alisema, “Bwana Mungu, wamewaua manabii wako na kuzibomoa madhabahu zako, nimebaki mimi peke yangu, nao wanataka kuniua?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana, wamewaua manabii wako, wamezibomoa madhabahu zako, nami nimebaki peke yangu, nao wananitafuta roho yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Bwana, wamewaua manabii wako na kubomoa madhabahu yako. Ni mimi tu peke yangu niliyebaki, nao wanataka kuniua!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Bwana, wafumbuaji wako wamewaua, wakapabomoa pote pa kukutambikia, nikasalia mimi peke yangu, tena roho yangu nayo wanaitafuta, waichukue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana, wamewaua manabii wako, wamezibomoa madhabahu zako, nami nimesalia peke yangu, nao wananitafuta roho yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Bwana, wamewaua manabii wako na kubomoa mazabahu zako; nami nimebaki peke yangu, nao wanatafuta kuniua.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bwana, wamewaua nabii zakowamezibomoa madhbabu zako, nami mmesalia peke yangu, nao wanatafuta roho yangu.