Romans 11:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hali kadhalika, kutokana na huruma mliyojaliwa nyinyi, Wayahudi wanamwasi Mungu sasa ili nao pia wapokee sasa huruma ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hivyo nao Waisraeli wamekuwa waasi ili wao nao sasa waweze kupata rehema kwa ajili ya rehema za Mungu kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kadhalika na hao wameasi sasa, ili kwa kupata rehema kwenu wao nao wapate rehema.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na sasa wao ndiyo wanaokataa kutii, kwa sababu Mungu aliwaonesha ninyi rehema zake. Lakini hili limetokea ili nao pia waweze kupokea rehema kutoka kwake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hali kadhalika, kutokana na huruma mliyojaliwa ninyi, Wayahudi wanamwasi Mungu sasa ili nao pia wapokee sasa huruma ya Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hali kadhalika, kutokana na huruma mliyojaliwa nyinyi, Wayahudi wanamwasi Mungu sasa ili nao pia wapokee sasa huruma ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hivyo nao Waisraeli wamekuwa waasi ili kwamba wao nao sasa waweze kupata rehema kwa ajili ya rehema za Mungu kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hivyo nao Waisraeli wamekuwa waasi ili kwamba wao nao sasa waweze kupata rehema kwa ajili ya rehema za Mungu kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kadhalika na hao wameasi sasa, ili kwa kupata rehema kwenu wao nao wapate rehema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hali kadhalika, kutokana na huruma mliyojaliwa nyinyi, Wayahudi wanamwasi Mungu sasa ili nao pia wapokee sasa huruma ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
vivyo hivyo hata hao sasa wameikataa ile huruma iliyowatokea, kwamba nao siku ziwafikie, watakapohurumiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kadhalika na hao wameasi sasa, ili kwa kupata rehema kwenu wao nao wapate rehema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni hivi vilevile, kutokana na vile mulivyohurumiwa, sasa wao wanamwasi Mungu, kusudi wao vilevile wapate kuhurumiwa na Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
vivyo hivyo na hao wameasi sasa, illi kwa kurehemiwa kwenu wao nao wapate rehema.