Romans 11:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mungu amewafunga watu wote katika uasi wao ili apate kuwahurumia wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Mungu amewafunga wanadamu wote kwenye kuasi ili apate kuwarehemu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Mungu amewafunga wote pamoja katika kuasi ili awarehemu wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu amemfungia kila mmoja katika gereza la kutokutii. Lakini amefanya hivi ili aweze kuonesha rehema yake kwa wote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Mungu amewafunga watu wote katika uasi wao ili wapate kuwahurumia wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mungu amewafunga watu wote katika uasi wao ili apate kuwahurumia wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana Mungu amewafunga wanadamu wote kwenye kuasi ili apate kuwarehemu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana Mwenyezi Mungu amewafunga wanadamu wote kwenye kuasi ili apate kuwarehemu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Mungu amewafunga wote pamoja katika kuasi ili awarehemu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mungu amewafunga watu wote katika uasi wao ili apate kuwahurumia wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Mungu aliwaunga wote pia, wamkatae, apate kuwahurumia wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Mungu amewafunga wote pamoja katika kuasi ili awarehemu wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Mungu amewafanya watu wote kama wafungwa kwa sababu ya kuasi kwao, kusudi awahurumie wote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana Mungu amewafunga wote pamoja katika kuasi illi awarehemu wote.