Romans 11:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nani aliyepata kuyajua mawazo ya Bwana? Nani awezaye kuwa mshauri wake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Mwenyezi Mungu? Au ni nani ambaye amekuwa mshauri wake?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana? Au ni nani aliyekuwa mshauri wake?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama Maandiko yanavyosema, “Nani anaweza kuyajua yaliyo katika mawazo ya Bwana? Nani anaweza kumshauri?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Nani aliyepata kuyajua mawazo ya Bwana? Nani awezaye kuwa mshauri wake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nani aliyepata kuyajua mawazo ya Bwana? Nani awezaye kuwa mshauri wake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ni nani aliyeijua nia ya Bwana? Au ni nani ambaye amekuwa mshauri wake?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana Mwenyezi? Au ni nani ambaye amekuwa mshauri wake?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana? Au ni nani aliyekuwa mshauri wake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nani aliyepata kuyajua mawazo ya Bwana? Nani awezaye kuwa mshauri wake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yuko nani aliyeyatambua mawazo ya Bwana? Au yuko nani aliyekula njama naye?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana? Au ni nani aliyekuwa mshauri wake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile Maandiko Matakatifu yanavyosema: “Ni nani anayejua mafikiri ya Bwana? Ni nani anayeweza kuwa mushauri wake?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana? Au ni nani aliyekuwa mshauri wake?