Romans 11:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, Mungu alimjibu nini? Alimwambia: “Nimejiwekea watu 7,000 ambao hawakumwabudu Baali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, Mungu alimjibuje? “Nimejibakizia watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ile jawabu ya Mungu yamwambiaje? Nimejisazia watu elfu saba wasiopiga goti mbele ya Baali.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ni jibu gani Mungu alilompa Eliya? Mungu alisema, “Nimejihifadhia watu elfu saba wasiomwabudu Baali.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, Mungu alimjibu nini? Alimwambia: “Nimejiwekea elfu saba ambao hawakumwabudu Baali.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, Mungu alimjibu nini? Alimwambia: “Nimejiwekea watu 7,000 ambao hawakumwabudu Baali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, Mungu alimjibuje? “Nimejibakizia watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, Mwenyezi Mungu alimjibuje? “Nimejibakizia watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini lile jibu la Mungu lamwambiaje? Nimejibakizia watu elfu saba wasiopiga goti mbele ya Baali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, Mungu alimjibu nini? Alimwambia: “Nimejiwekea watu 7,000 ambao hawakumwabudu Baali.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini jibu la Mungu linamwambia nini? Nimejisazia watu 7000 wasiompigia Baali magoti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini ile jawabu ya Mungu yamwambiaje? Nimejisazia watu elfu saba wasiopiga goti mbele ya Baali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Mungu alimujibu namna gani? Alimwambia: “Nimejiwekea watu elfu saba waliokataa kupiga magoti mbele ya mungu Bali.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini ile jawabu yamwanibiaje? Nimejisazia watu elfu saba wasiopiga goti mbele ya Baal.