Romans 11:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe mtego wa kuwanasa, waanguke na kuadhibiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe tanzi na mtego wa kuwanasa, kitu cha kuwakwaza waanguke, na adhabu kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Daudi asema, Meza yao na iwe tanzi na mtego, Na kitu cha kuwakwaza, na malipo kwao;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na Daudi anasema, “Watu hawa na wakamatwe na kunaswa katika tafrija wanazofurahia. Nyakati hizo nzuri ziwasababishe waanguke ili wapate adhabu wanayoistahili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe mtego wa kuwanasa, waanguke na kuadhibiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe mtego wa kuwanasa, waanguke na kuadhibiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe tanzi na mtego wa kuwanasa, kitu cha kuwakwaza waanguke, na adhabu kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe tanzi na mtego wa kuwanasa, kitu cha kuwakwaza waanguke, na adhabu kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Daudi asema, Meza yao na iwe tanzi na mtego, Na kitu cha kuwakwaza, na malipo kwao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe mtego wa kuwanasa, waanguke na kuadhibiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Dawidi anasema: Sharti meza zao ziwawie matanzi na mitego, wanaswe, walipizwe mabaya yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Daudi asema, Meza yao na iwe tanzi na mtego, Na kitu cha kuwakwaza, na malipo kwao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi anasema vilevile: “Karamu ziwageukie kama mitego ya kuwanasa, waanguke na kuazibiwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Daud asema, Meza yao iwe tanzi na mtego, Na kitu cha kuwakwaza, na malipo kwao;