Romans 12:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pendaneni kindugu; kila mmoja amfikirie kwanza mwenzake kwa heshima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pendaneni ninyi kwa ninyi kama wa familia moja. Na jitahidini kuwa wa kwanza katika kumpa heshima kila mmoja baina yenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Pendaneni kidugu; kila mmoja amfikirie mwenzake kwanza kwa heshima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pendaneni kindugu; kila mmoja amfikirie kwanza mwenzake kwa heshima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa kindugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pendaneni kindugu; kila mmoja amfikirie kwanza mwenzake kwa heshima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpendane kindugu kwa mioyo, tena mwongozane na kuheshimiana ninyi kwa ninyi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupendane ninyi kwa ninyi kwa kweli kama vile wandugu, nanyi muheshimiane ninyi kwa ninyi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa pendo la udugu, mwe na shauku ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu;