Romans 12:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msilipe ovu kwa ovu. Zingatieni mambo mema mbele ya wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msimlipe mtu yeyote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtu akikukosea, usimlipize ubaya. Mjaribu kufanya lile ambalo kila mtu anaona kuwa ni sahihi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Msilipe ovu kwa ovu. Zingatieni mambo mema mbele ya wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msilipe ovu kwa ovu. Zingatieni mambo mema mbele ya wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msimlipe mtu ye yote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msimlipe mtu yeyote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msilipe ovu kwa ovu. Zingatieni mambo mema mbele ya wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Msimlipe mtu maovu kwa maovu! Yawazeni yaliyo mazuri mbele ya watu wote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musimurudishie mutu ubaya kwa ubaya. Mukuwe na roho ya kufanya mema mbele ya watu wote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Andaeni yaliyo mema machoni pa watu wote.