Romans 12:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwili una viungo vingi, kila kimoja na kazi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama vile katika mwili mmoja tulivyo na viungo vingi, navyo viungo vyote havina kazi moja,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa kama vile katika mwili mmoja tuna viungo vingi, wala viungo vyote havitendi kazi moja;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila mmoja wetu anao mwili mmoja, na mwili huo una viungo vingi. Viungo hivi vyote havifanyi mambo yanayofanana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwili una viungo vingi, kila kimoja na kazi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwili una viungo vingi, kila kimoja na kazi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vile katika mwili mmoja tulivyo na viungo vingi, navyo viungo vyote havina kazi moja,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile katika mwili mmoja tulivyo na viungo vingi, navyo viungo vyote havina kazi moja,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa kama vile katika mwili mmoja tuna viungo vingi, wala viungo vyote havitendi kazi moja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwili una viungo vingi, kila kimoja na kazi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ni vivyo hivy: tunavyo viungo vingi katika mwili mmoja, lakini viungo vyote havina kazi moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa kama vile katika mwili mmoja tuna viungo vingi, wala viungo vyote havitendi kazi moja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwili mumoja kuna viungo vingi, lakini viungo hivi vyote havina kazi moja.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana kama vile katika mwili mmoja tuna viungo vingi, navyo viungo vyote havitendi kazi moja;