Romans 14:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Maandiko yanasema: “Kama niishivyo, asema Bwana, kila mtu atanipigia magoti, na kila mmoja atakiri kwamba mimi ni Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa imeandikwa: “ ‘Kama vile niishivyo,’ asema Mwenyezi Mungu, ‘kila goti litapigwa mbele zangu, na kila ulimi utakiri kwa Mungu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo, Maandiko yanasema, “‘Hakika kama niishivyo’, asema Bwana, ‘kila mtu atapiga magoti mbele zangu, na kila mtu atasema kuwa mimi ni Mungu.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Maandiko yanasema: “Kama niishivyo, asema Bwana kila mtu atanipigia magoti, na kila mmoja atakiri kwamba mimi ni Mungu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Maandiko yanasema: “Kama niishivyo, asema Bwana, kila mtu atanipigia magoti, na kila mmoja atakiri kwamba mimi ni Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa imeandikwa: “ ‘Kama niishivyo,’ asema Bwana, ‘kila goti litapigwa mbele zangu, na kila ulimi utamkiri Mungu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa imeandikwa: “ ‘Kama vile niishivyo,’ asema Bwana Mwenyezi, ‘kila goti litapigwa mbele zangu, na kila ulimi utakiri kwa Mungu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Maandiko yanasema: “Kama niishivyo, asema Bwana, kila mtu atanipigia magoti, na kila mmoja atakiri kwamba mimi ni Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani imeandikwa: Bwana anasema: Kwa hivyo, nilivyo Mwenye uzima, wote watanipigia magoti, nazo ndimi zote zitamwungama Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana imeandikwa katika Maandiko Matakatifu: “Bwana anasema: Kama vile ninavyoishi, kila mutu atapiga magoti mbele yangu, na kila mutu ataitikia kwamba mimi ni Mungu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana imeandikwa, Kwa uhayi wangu, anena Bwana, magoti yote yatapigwa mbele zangu, Na ndimi zote zitamkiri Mungu.