Romans 14:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, msikubali kitu mnachokiona kwenu kuwa chema kidharauliwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiruhusu kile ambacho unakiona kuwa chema kisemwe kuwa ni kiovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, huo wema wenu usitajwe kwa ubaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Usiruhusu kile ambacho ni chema kwako kiwe kitu watakachosema ni kiovu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, msikubalie kitu mnachokiona kuwa kwenu ni kitu chema kidharauliwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, msikubali kitu mnachokiona kwenu kuwa chema kidharauliwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiruhusu kile ambacho unakiona kuwa chema kisemwe kuwa ni kiovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiruhusu kile ambacho unakiona kuwa chema kisemwe kuwa ni kiovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, huo wema wenu usitajwe kwa ubaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, msikubali kitu mnachokiona kwenu kuwa chema kidharauliwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaliyo mema kwenu yaangalieni, yasibezwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, huo wema wenu usitajwe kwa ubaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi musikubali kitu kile kinachoonekana kwenu kuwa kizuri kizarauliwe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, usitajwe vibaya kwa huo wema wenu.