Romans 14:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu hutofautiana: Mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula tu mboga za majani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu, lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula mboga tu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mmoja anayo imani, anakula vyote; lakini yeye aliye dhaifu hula mboga.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya watu wanaamini kuwa wanaweza kula aina yoyote ya chakula, lakini wale walio na mashaka wanakula mboga za majani tu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu huhitilafiana: mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula tu mboga za majani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu hutofautiana: mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula tu mboga za majani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu, lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula mboga tu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu, lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula mboga tu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mmoja anayo imani, anakula vyote; lakini yeye aliye dhaifu hula mboga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu hutofautiana: Mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula tu mboga za majani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwingine anayategemea ya kwamba: Vyote vinaliwa; mwingine aliye mnyonge hula maboga tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mmoja anayo imani, anakula vyote; lakini yeye aliye dhaifu hula mboga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mufano, mutu mumoja kutokana na imani yake anaona kwamba anaweza kula kila chakula, lakini mwingine kutokana na imani yake zaifu, anakula tu mboga za majani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mtu mmoja ana imani, anakula vyote, lakini yeye aliye dhaifu hula mboga.