Romans 14:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza kuzifikiria siku zote kuwa sawa. Kila mmoja na afuate msimamo wa akili yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mmoja anaitukuza siku fulani kuwa ni bora kuliko nyingine, na mwingine anaona kuwa siku zote ni sawa. Basi kila mmoja awe na hakika na yale anayoamini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku, mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wengine wanaweza kuamini kuwa siku moja ni ya muhimu zaidi kuliko nyingine. Na wengine wanaweza kuwa na uhakika kuwa siku zote ziko sawa. Kila mtu anapaswa kujihakikisha juu ya imani yake katika akili zake wenyewe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza kuzifikiria siku zote kuwa sawa. Kila mmoja na afuate msimamo wa akili yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza kuzifikiria siku zote kuwa sawa. Kila mmoja na afuate msimamo wa akili yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mmoja anaitukuza siku fulani kuwa ni bora kuliko nyingine na mwingine anaona kuwa siku zote ni sawa. Basi kila mmoja awe na hakika na yale anayoamini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mmoja anaitukuza siku fulani kuwa ni bora kuliko nyingine, na mwingine anaona kuwa siku zote ni sawa. Basi kila mmoja awe na hakika na yale anayoamini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku, mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza kuzifikiria siku zote kuwa sawa. Kila mmoja na afuate msimamo wa akili yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwingine huchagulia siku za kuzitakasa, mwingine huzitakasa siku zote. Kila mtu sharti afulize kuyafuata, aliyoyatambua yeye kuwa ya kweli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku, mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wamoja wanahesabu siku fulani kuwa yenye maana zaidi kuliko siku zingine, lakini wengine wanahesabu siku zote kuwa sawasawa. Kwa hiyo kila mutu asadiki sawa vile anavyowaza yeye mwenyewe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku; mwingine aona siku zote kuwa sawa sawa. Killa mtu athuhutike katika akili zake mwenyewe.