Romans 14:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Kristo alikufa, akafufuka ili apate kuwa Bwana wa walio hai na wafu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwani kwa sababu hii hasa, Al-Masihi alikufa na akawa hai tena kusudi apate kuwa Bwana wa wote, yaani waliokufa na walio hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo sababu Kristo alikufa na kuishi tena ili awe Bwana juu ya wote waliokufa na wanaoishi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Kristo alikufa, akafufuka ili wapate kuwa Bwana wa wazima na wafu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Kristo alikufa, akafufuka ili apate kuwa Bwana wa walio hai na wafu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwani kwa sababu hii hasa, Kristo alikufa na akawa hai tena kusudi apate kuwa Bwana wa wote, yaani, waliokufa na walio hai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwani kwa sababu hii hasa, Al-Masihi alikufa na akawa hai tena kusudi apate kuwa Bwana wa wote, yaani, waliokufa na walio hai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Kristo alikufa, akafufuka ili apate kuwa Bwana wa walio hai na wafu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwa hiyo Kristo alikufa, akawa mzima tena, apate kuwatawala waliokufa nao wanaoishi.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kwa sababu hii Kristo alikufa na kufufuka kusudi apate kuwa Bwana wa waliokufa na wa wanaokuwa wazima vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana Kristo alikufa akafufuka akawa hayi tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hayi pia.