Romans 15:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na tena: “Enyi mataifa yote, msifuni Bwana; enyi watu wote, msifuni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena, “Msifuni Mwenyezi Mungu, ninyi watu wa Mataifa wote, na kumwimbia sifa, enyi watu wote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tena,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pia Maandiko yanasema, “Msifuni Bwana ninyi watu wote wa mataifa mengine; watu wote na wamsifu Bwana.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na tena: “Enyi mataifa yote, msifuni Bwana; enyi watu wote, msifuni.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na tena: “Enyi mataifa yote, msifuni Bwana; enyi watu wote, msifuni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena, “Mhimidini Bwana, ninyi watu wote Mataifa, na kumwimbia sifa, enyi mataifa yote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena, “Msifuni Bwana Mwenyezi, ninyi watu wa Mataifa wote, na kumwimbia sifa, enyi watu wote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tena, Enyi Mataifa yote, msifuni Bwana; Enyi watu wote, mhimidini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na tena: “Enyi mataifa yote, msifuni Bwana; enyi watu wote, msifuni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na tena: Mshangilieni Bwana, ninyi wamizimu wote, makabila yote ya watu yamsifu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tena, Enyi Mataifa yote, msifuni Bwana; Enyi watu wote, mhimidini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na tena hivi: “Enyi mataifa yote, mumusifu Bwana; enyi watu wote, mumusifu!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na tena, Msifuni Bwana, Mataifa wote; Mpeni sifa watu wote.