Romans 15:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena Isaya asema: “Atatokea chipukizi katika ukoo wa Yese, naye atawatawala watu wa mataifa; nao watamtumainia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena Isaya anasema, “Shina la Yese litachipuka, yeye atakayeinuka ili kuyatawala mataifa. Watu wa Mataifa watamtumaini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tena Isaya anena, Litakuwako shina la Yese, Naye aondokeaye kuwatawala Mataifa; Ndiye Mataifa watakayemtumaini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na Isaya anasema, “Mtu mmoja atakuja kutoka katika ukoo wa Yese. Atainuka na kutawala juu ya mataifa, na wataweka matumaini yao kwake.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tena Isaya asema: “Atatokea mtu katika ukoo wa Yese, naye atawatawala watu wa mataifa; nao watamtumainia.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena Isaya asema: “Atatokea chipukizi katika ukoo wa Yese, naye atawatawala watu wa mataifa; nao watamtumainia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena Isaya anasema, “Shina la Yese litachipuka, yeye atakayeinuka ili kutawala juu ya mataifa, watu Mataifa watamtumaini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena Isaya anasema, “Shina la Yese litachipuka, yeye atakayeinuka ili kutawala juu ya mataifa. Watu wa Mataifa watamtumaini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tena Isaya anena, Litakuwako shina la Yese, Naye aondokeaye kuwatawala Mataifa; Ndiye Mataifa watakayemtumaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena Isaya asema: “Atatokea chipukizi katika ukoo wa Yese, naye atawatawala watu wa mataifa; nao watamtumainia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Yesaya anasema: Shinani mwa Isai ataondokea mwenye kuwatawala wamizimu; huyo ndiye, wamizimu watakayemngojea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tena Isaya anena, Litakuwako shina la Yese, Naye aondokeaye kuwatawala Mataifa; Ndiye Mataifa watakayemtumaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isaya naye anasema: “Muzao wa Yese atatokea, atatawala watu wa mataifa, nao watamutumainia.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na tena Isaya anena, Litakuwa shina la Yesse, Nae aondokeae kuwatawala Mataifa; ndiye Mataifa watakaemtumaini.