Romans 15:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Watu wote ambao hawakuambiwa habari zake wataona; nao wale ambao hawajapata kusikia, wataelewa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama ilivyoandikwa: “Wale ambao hawajahubiriwa habari zake wataona, nao wale ambao hawajazisikia watafahamu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali kama ilivyoandikwa, Wale wasiohubiriwa habari zake wataona, Na wale wasiojasikia watafahamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama Maandiko yanavyosema, “Wale ambao hawakuambiwa kuhusu yeye wataona, na wale ambao hawajasikia juu yake wataelewa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Watu wote ambao hawakuambiwa habari zote wataona; nao wale ambao hawajapata kusikia, wataelewa.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Watu wote ambao hawakuambiwa habari zake wataona; nao wale ambao hawajapata kusikia, wataelewa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama ilivyoandikwa: “Wale ambao hawajahubiriwa habari zake wataona, nao wale ambao hawajazisikia watafahamu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama ilivyoandikwa: “Wale ambao hawajahubiriwa habari zake wataona, nao wale ambao hawajazisikia watafahamu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali kama ilivyoandikwa, Wale wasiowahi kuhubiriwa habari zake wataona, Na wale ambao hawajawahi kusikia habari zake watafahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Watu wote ambao hawakuambiwa habari zake wataona; nao wale ambao hawajapata kusikia, wataelewa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila yawe, kama yalivyoandikwa: Watakaomwona ndio wasioambiwa Neno lake nao wasiolisikia watalijua maana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali kama ilivyoandikwa, Wale wasiohubiriwa habari zake wataona, Na wale wasiojasikia watafahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama vile inavyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: “Wale ambao hawajaambiwa bado habari zake, watamwona. Wale hawajazielezwa bado, watazifahamu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali kama ilivyoandikwa, Wale wasiokhubiriwa khahari zake wafaona, Na wale wasiosikia watafahamu.