Romans 15:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo sababu nimezuiliwa mara nyingi nisiweze kuja kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiyo sababu nalizuiwa mara nyingi nisije kwenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kazi hiyo imenifanya niwe na shughuli nyingi sana na mara nyingi imenizuia kuja kuwaona.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo sababu nimezuiliwa mara nyingi nisiweze kuja kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo sababu nimezuiliwa mara nyingi nisiweze kuja kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiyo sababu nilizuiwa mara nyingi nisije kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili hiyo nalizuiliwa mara nyingi kuja kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiyo sababu nalizuiwa mara nyingi nisije kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo ndiyo sababu iliyonizuiza mara nyingi kufika kule kwenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndio sababu nalizuiwa marra nyingi nisije kwenu.