Romans 15:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, kwa sasa nakwenda kuwahudumia watu wa Mungu kule Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ila sasa niko njiani kuelekea Yerusalemu kwa ajili ya kuwahudumia watakatifu huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila sasa ninakwenda Yerusalemu, nikiwahudumu watakatifu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sasa ninakwenda Yerusalemu kuwasaidia watu wa Mungu huko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini, kwa sasa nakwenda kuwahudumia watu wa Mungu kule Yerusalem.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, kwa sasa nakwenda kuwahudumia watu wa Mungu kule Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa, niko njiani kuelekea Yerusalemu kwa ajili ya kuwahudumia watakatifu huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa, niko njiani kuelekea Yerusalemu kwa ajili ya kuwahudumia watakatifu huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila sasa ninakwenda Yerusalemu, nikiwahudumia watakatifu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, kwa sasa nakwenda kuwahudumia watu wa Mungu kule Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sasa ninakwenda Yerusalemu, niwatumikie watakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila sasa ninakwenda Yerusalemu, nikiwahudumu watakatifu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa ninakwenda kwanza Yerusalema kuwasaidia watu wa Mungu kule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na sasa ninakwenda Yerusalemi, nikiwakhudumu watakatifu;