Romans 15:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Najua ya kuwa nikija kwenu nitawaletea wingi wa baraka za Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninajua kwamba nitakapokuja kwenu, nitakuja na wingi wa baraka za Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami najua ya kuwa nikija kwenu nitakuja kwa utimilifu wa baraka ya Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na ninajua kwamba nitakapowatembelea, nitakuja na baraka zote anazotoa Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Najua ya kuwa nikija kwenu nitawaletea wingi wa baraka za Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Najua ya kuwa nikija kwenu nitawaletea wingi wa baraka za Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninajua kwamba nitakapokuja kwenu, nitakuja na wingi wa baraka za Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninajua kwamba nitakapokuja kwenu, nitakuja na wingi wa baraka za Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami najua ya kuwa nikija kwenu nitakuja kwa utimilifu wa baraka ya Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Najua ya kuwa nikija kwenu nitawaletea wingi wa baraka za Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami najua, ya kuwa nitakapokuja kwenu nitakuja mwenye mema yote, Kristo anayotupa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami najua ya kuwa nikija kwenu nitakuja kwa utimilifu wa baraka ya Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami ninajua kwamba wakati nitakapokuja kwenu, nitakuja na baraka nyingi sana kutoka kwa Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami najua ya kuwa nikija kwenu nitakuja kwa utimilifu wa haraka ya Injili ya Kristo.