Romans 15:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ombeni nipate kutoka salama miongoni mwa wale wasioamini walioko Uyahudi, nayo huduma yangu huko Yerusalemu ipate kukubaliwa na watu wa Mungu walioko huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ombeni ili nipate kuokolewa mikononi mwa wale wasioamini walio Yudea, na kwamba utumishi wangu upate kukubaliwa na watakatifu wa huko Yerusalemu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwamba niokolewe na wale wasioamini katika Uyahudi, na tena huduma yangu niliyo nayo huko Yerusalemu ikubalike kwa watakatifu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Niombeeni ili niokolewe kutokana na wale walioko Yudea wanaokataa kuupokea ujumbe wetu. Pia ombeni kwamba msaada huu ninaoupeleka Yerusalemu utakubalika kwa watu wa Mungu huko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ombeni nipate kutoka salama miongoni mwa wale wasioamini walioko Uyahudi, nayo huduma yangu huko Yerusalem ipate kukubaliwa na watu wa Mungu walioko huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ombeni nipate kutoka salama miongoni mwa wale wasioamini walioko Uyahudi, nayo huduma yangu huko Yerusalemu ipate kukubaliwa na watu wa Mungu walioko huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ombeni ili nipate kuokolewa mikononi mwa wale wasioamini walioko Uyahudi na kwamba utumishi wangu upate kukubaliwa na watakatifu wa huko Yerusalemu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ombeni ili nipate kuokolewa mikononi mwa wale wasioamini walioko Uyahudi, na kwamba utumishi wangu upate kukubaliwa na watakatifu wa huko Yerusalemu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwamba niokolewe kutoka kwa wale wasioamini katika Yudea, na tena huduma yangu niliyo nayo huko Yerusalemu ikubalike kwa watakatifu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ombeni nipate kutoka salama miongoni mwa wale wasioamini walioko Uyahudi, nayo huduma yangu huko Yerusalemu ipate kukubaliwa na watu wa Mungu walioko huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nipate kupona katika wale wasiotii huko Yudea, tena huu utumishi wangu upendezeke kwao watakatifu huko Yerusalemu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwamba niokolewe na wale wasioamini katika Uyahudi, na tena huduma yangu niliyo nayo huko Yerusalemu ikubalike kwa watakatifu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muniombee kusudi nisipate hasara toka kwa watu wale wasioamini wanaokuwa Yudea na kusudi musaada ninaoupeleka Yerusalema upate kupokelewa vizuri kule na watu wa Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
niokolewe nao waasio katika Yahudi, na tena khuduma yangu niliyo nayo huko Yerusalemi ipate kibali kwa watakatifu,