Romans 15:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili nao watu wa mataifa mengine wapate kumtukuza Mungu kwa sababu ya huruma yake. Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Kwa hiyo nitakusifu miongoni mwa watu wa mataifa. Nitaziimba sifa za jina lako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na pia ili watu wa Mataifa wamtukuze Mungu kwa rehema zake. Kama ilivyoandikwa: “Kwa hiyo nitakutukuza kati ya watu wa Mataifa; nitaliimbia sifa jina lako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena ili Mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake; kama ilivyoandikwa, Kwa hiyo nitakushukuru kati ya Mataifa, Nami nitaliimbia jina lako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na pia alifanya hivi ili wale wasio Wayahudi waweze kumsifu Mungu kwa rehema anazowapa. Maandiko yanasema, “Hivyo nitakushukuru wewe katikati ya watu wa mataifa mengine; Nitaliimbia sifa jina lako.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ili nao watu wa mataifa mengine wapate kumtukuza Mungu kwa sababu ya huruma yake. Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Kwa sababu hiyo, nitakusifu miongoni mwa watu wa mataifa. Nitaziimba sifa za jina lako.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili nao watu wa mataifa mengine wapate kumtukuza Mungu kwa sababu ya huruma yake. Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Kwa hiyo nitakusifu miongoni mwa watu wa mataifa. Nitaziimba sifa za jina lako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pia ili watu Mataifa wamtukuze Mungu kwa rehema zake. Kama ilivyoandikwa: “Kwa hiyo nitakutukuza katikati ya watu Mataifa; nitaliimbia sifa jina lako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na pia ili watu wa Mataifa wamtukuze Mungu kwa rehema zake. Kama ilivyoandikwa: “Kwa hiyo nitakutukuza katikati ya watu wa Mataifa; nitaliimbia sifa jina lako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena ili Mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake; kama ilivyoandikwa, Kwa hiyo nitakushukuru kati ya Mataifa, Nami nitaliimbia jina lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili nao watu wa mataifa mengine wapate kumtukuza Mungu kwa sababu ya huruma yake. Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Kwa hiyo nitakusifu miongoni mwa watu wa mataifa. Nitaziimba sifa za jina lako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena anasema: Wamizimu humtukuza Mungu kwa ajili ya kuhurumiwa, kama ilivyoandikwa: Kwa hiyo nitakuungama kwenye wamizimu, nalo Jina lako na niliimbie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena ili Mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake; kama ilivyoandikwa, Kwa hiyo nitakushukuru kati ya Mataifa, Nami nitaliimbia jina lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile ilikuwa kusudi watu wa mataifa mengine wamutukuze Mungu kwa huruma yake, kama inavyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: “Kwa hiyo nitakutukuza kati ya mataifa, nitakuimbia sifa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nao Mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake; kama ilivyoandikwa, Kwa sababu hii nitakusifu katika Mataifa, Na jina lako nitaliimba.