Romans 16:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nisalimieni Apele ambaye uaminifu wake kwa Kristo umethibitishwa. Salamu zangu kwa wote walio nyumbani mwa Aristobulo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msalimuni Apele aliyejaribiwa na akaithibitisha imani yake katika Al-Masihi. Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Aristobulo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nisalimieni Apele, mwenye kukubaliwa katika Kristo. Nisalimieni watu wa nyumbani mwa Aristobulo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na Apele, aliyejithibitisha kuwa yeye ni mfuasi wa kweli wa Kristo. Nisalimieni watu wote katika nyumba ya Aristobulo
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nisalimieni Apele ambaye uaminifu wake kwa Kristo umethibitishwa. Salamu zangu kwa wote walio nyumbani mwa Aristobulo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nisalimieni Apele ambaye uaminifu wake kwa Kristo umethibitishwa. Salamu zangu kwa wote walio nyumbani mwa Aristobulo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msalimuni Apele aliyejaribiwa na akaithibitisha imani yake katika Kristo. Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Aristobulo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msalimuni Apele aliyejaribiwa na akaithibitisha imani yake katika Al-Masihi. Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Aristobulo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nisalimieni Apele, mwenye kukubaliwa katika Kristo. Nisalimieni watu wa nyumbani mwa Aristobulo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nisalimieni Apele ambaye uaminifu wake kwa Kristo umethibitishwa. Salamu zangu kwa wote walio nyumbani mwa Aristobulo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nisalimieni Apele aliyejulikana kuwa Mkristo wa kweli! Nisalimieni wale wa Aristobulo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nisalimieni Apele, mwenye kukubaliwa katika Kristo. Nisalimieni watu wa nyumbani mwa Aristobulo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munisalimie Apele, aliyehakikisha uaminifu wake katika Kristo. Munisalimie watu wanaoishi katika nyumba ya Aristobulo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nisalimieni Apelle, mwenye kukubaliwa katika Kristo. Nisalimieni watu wa nyumba ya Aristobulo.