Romans 16:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Salamu zangu kwa Herodiana, mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msalimuni ndugu yangu Herodioni. Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Narkiso walio katika Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nisalimieni Herodioni, jamaa yangu. Nisalimieni watu wa nyumbani mwa Narkiso, walio katika Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na Herodioni, jamaa yangu. Wasalimieni nyumba nzima ya Narkiso aliye wake Bwana
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Salamu zangu kwa Herodiana, mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Salamu zangu kwa Herodiana, mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msalimuni ndugu yangu Herodioni. Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Narkisi walio katika Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msalimuni ndugu yangu Herodioni. Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Narkisi walio katika Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nisalimieni Herodioni, jamaa yangu. Nisalimieni watu wa nyumbani mwa Narkiso, walio katika Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Salamu zangu kwa Herodiana, mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nisalimieni ndugu yangu Herodio! Nisalimieni wale wa Narkiso wanaomkalia Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nisalimieni Herodioni, jamaa yangu. Nisalimieni watu wa nyumbani mwa Narkiso, walio katika Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munisalimie Herodio, mwanainchi mwenzangu. Munisalimie watu wanaoishi katika nyumba ya Narkiso, wanaomwamini Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nisalimieni Herodioni, jamaa yangu. Nisalimieni watu wa nyumba ya Nakisso, walio katika Kristo.