Romans 16:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nisalimieni Filologo na Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa, pamoja na watu wote wa Mungu walio pamoja nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wasalimuni Filologo, Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa na watakatifu wote walio pamoja nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nisalimieni Filologo na Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa, na watakatifu wote walio pamoja nao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msalimieni Filologo na Yulia, Nerea na dada yake, Olimpa na watu wote wa Mungu walio pamoja nao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nisalimieni Filologo na Yulia, Nerea na dada yake, na Olumpa, pamoja na watu wote wa Mungu walio pamoja nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nisalimieni Filologo na Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa, pamoja na watu wote wa Mungu walio pamoja nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wasalimuni Filologo, Yulia, Nerea na dada yake, Olimpa na watakatifu wote walio pamoja nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wasalimuni Filologo, Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa na watakatifu wote walio pamoja nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nisalimieni Filologo na Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa, na watakatifu wote walio pamoja nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nisalimieni Filologo na Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa, pamoja na watu wote wa Mungu walio pamoja nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nisalimieni Filologo na Yulia na Neri na dada yake na Olimpa nao watakatifu wote walio pamoja nao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nisalimieni Filologo na Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa, na watakatifu wote walio pamoja nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munisalimie Filologo na Yulia, Nereo na dada yake, na Olimpa, na watu wote wa Mungu wanaoshiriki pamoja nao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nisalimieni Filologo na Julia, Nereu na ndugu yake, na Olumpa, na watakatifu wote walio pamoja nao.