Romans 16:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami Tertio, ninayeandika barua hii, nawasalimuni kwa jina la Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi, Tertio, niliye mwandishi wa waraka huu, nawasalimu katika Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi Tertio, niliyeandika waraka huu, nawasalimu katika Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mimi Tertio, ninayeandika barua hii kwa ajili ya Paulo. Ninawasalimu kama mmoja aliye wa Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nami Tertio, ninayeandika barua hii nawasalimuni katika Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami Tertio, ninayeandika barua hii, nawasalimuni kwa jina la Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi, Tertio, niliye mwandishi wa waraka huu, nawasalimu katika Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi, Tertio, niliye mwandishi wa waraka huu, nawasalimu katika Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi Tertio, niliyeandika waraka huu, nawasalimu katika Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami Tertio, ninayeandika barua hii, nawasalimuni kwa jina la Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi Tertio niliyeiandika barua hii nami ninawasalimu ninyi kwa hivyo, ninavyomkalia Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi Tertio, niliyeandika waraka huu, nawasalimu katika Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi Tertio, niliyeandika barua hii, ninawasalimia kwa jina la Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mimi Tertio, niliyeandika waraka huu, nawasalimu katika Bwana.