Romans 16:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwake Mungu aliye peke yake mwenye hekima, uwe utukufu kwa njia ya Yesu Kristo, milele na milele! Amina.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndiye Mungu, aliye pekee mwenye hekima, ambaye kupitia kwa Isa Al-Masihi utukufu ni wake milele na milele! Amen.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiye Mungu mwenye hekima peke yake. Utukufu una yeye kwa Yesu Kristo, milele na milele. Amina.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Utukufu wa milele ni kwa Mungu mwenye hekima pekee kwa njia ya Yesu Kristo. Amina.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwake Mungu aliye peke yake mwenye hekima, uwe utukufu kwa njia ya Yesu Kristo, milele na milele! Amina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwake Mungu aliye peke yake mwenye hekima, uwe utukufu kwa njia ya Yesu Kristo, milele na milele! Amina.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu aliye pekee, mwenye hekima, ambaye kwa njia ya Yesu Kristo utukufu una yeye milele na milele! Amen.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu aliye pekee, mwenye hekima, ambaye kwa njia ya Isa Al-Masihi utukufu ni wake milele na milele! Amen.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiye Mungu mwenye hekima peke yake. Utukufu una yeye kwa Yesu Kristo, milele na milele. Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwake Mungu aliye peke yake mwenye hekima, uwe utukufu kwa njia ya Yesu Kristo, milele na milele! Amina.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye Mungu aliye peke yake mwenye werevu wa kweli atukuzwe kwa ajili ya Yesu Kristo kale na kale pasipo mwisho! Amin.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiye Mungu mwenye hekima peke yake. Utukufu una yeye kwa Yesu Kristo, milele na milele. Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Mungu anayekuwa peke yake mwenye hekima atukuzwe milele na milele kwa njia ya Yesu Kristo! Amina.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
yeye ndiye Mungu mwenye hekima peke yake; na atukuzwe kwa Yesu Kristo, milele na milele. Amin.