Romans 2:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mungu atawapa utukufu, heshima na amani wale wanaotenda mema; Wayahudi kwanza, na watu wa mataifa mengine pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
bali utukufu, heshima na amani kwa ajili ya kila mmoja atendaye mema, kwa Myahudi kwanza, kisha kwa mtu wa Mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali utukufu na heshima na amani kwa kila mtu atendaye mema, Myahudi kwanza na Myunani pia;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini atampa utukufu, heshima na amani kila atendaye mema; wale wote wanaotenda mema; kuanzia Wayahudi kwanza kisha wale wasio Wayahudi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Mungu atawapa utukufu, heshima na amani wale wanaotenda mema; Wayahudi kwanza, na watu wa mataifa mengine pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mungu atawapa utukufu, heshima na amani wale wanaotenda mema; Wayahudi kwanza, na watu wa mataifa mengine pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
bali utukufu, heshima na amani kwa ajili ya kila mmoja atendaye mema, kwa Myahudi kwanza, kisha kwa mtu Mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bali utukufu, heshima na amani kwa ajili ya kila mmoja atendaye mema, kwa Myahudi kwanza, kisha kwa mtu wa Mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali utukufu na heshima na amani kwa kila mtu atendaye mema, Myahudi kwanza na Mgiriki pia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mungu atawapa utukufu, heshima na amani wale wanaotenda mema; Wayahudi kwanza, na watu wa mataifa mengine pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini utukufu na heshima na utengemano ndio, atakaoupata kila anayefanya mema, kwanza Wayuda, kisha Wagriki nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali utukufu na heshima na amani kwa kila mtu atendaye mema, Myahudi kwanza na Myunani pia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kila mutu anayefanya mema atapata utukufu, heshima na amani; kwanza Wayuda, kisha watu wa mataifa mengine vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali utukufu na heshima na amani kwa killa mtu atendae mema, Myahudi kwanza na Myunani pia;