Romans 2:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na wewe, je? Wewe mwenyewe unajiita Myahudi; unaitumainia sheria na kujivunia kuwa wa Mungu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, wewe ukiwa unajiita Myahudi na kuitegemea Torati na kujisifia uhusiano wako na Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wewe, ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea torati, na kujisifu katika Mungu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wewe unajiita Myahudi, na unajiona upo salama kwa kuwa tu una sheria. Kwa majivuno unadai kuwa wewe ni mmoja wa wateule wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na wewe, je? Wewe mwenyewe unajiita Myahudi; unaitumainia Sheria na kujivunia kuwa wa Mungu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na wewe, je? Wewe mwenyewe unajiita Myahudi; unaitumainia sheria na kujivunia kuwa wa Mungu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, wewe ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea Sheria na kujisifia uhusiano wako na Mungu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, wewe ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea sheria na kujisifia uhusiano wako na Mungu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wewe, ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea torati, na kujisifu katika Mungu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na wewe, je? Wewe mwenyewe unajiita Myahudi; unaitumainia sheria na kujivunia kuwa wa Mungu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Angalia, wewe unayeitwa Myuda, unayatumia Maonyo ya kupumzikia ukijivunia kwamba: Mungu ninaye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wewe, ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea torati, na kujisifu katika Mungu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa wewe unaitwa Muyuda, unategemea Sheria na kujivunia Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini wewe, ukiwa unakwitwa Myahudi na kuitegemea torati, na kujisifu katika Mungu,