Romans 2:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa njia ya sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo Torati,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuyajua mapenzi yake, na kuyakubali mambo yaliyo bora, nawe umeelimishwa katika torati,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Unajua yale ambayo Mungu anataka ufanye. Na unajua yaliyo muhimu, kwa sababu umejifunza sheria.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kwa njia ya Sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa njia ya sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo sheria,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo sheria,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuyajua mapenzi yake, na kuyakubali mambo yaliyo bora, nawe umeelimishwa katika torati,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa njia ya sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli unayatambua, anayoyataka, kisha ukayatenga yaliyo mepesi nayo yaliyo magumu, kwa kuwa umefundishwa mambo ya Maonyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuyajua mapenzi yake, na kuyakubali mambo yaliyo bora, nawe umeelimishwa katika torati,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unajidai kwamba unajua mapenzi yake na kutambua mambo yanayofaa zaidi kwa sababu umefundishwa na Sheria.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na kuyajua mapenzi yake na kuyatambua manibo yaliyo bora, umeelimishwa katika torati,