Romans 2:19 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama unatambua kuwa wewe ni kiongozi wa vipofu, na mwanga kwa wale walio gizani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kujua hakika ya kuwa wewe mwenyewe u kiongozi wa vipofu, mwanga wao walio gizani,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Unadhani kuwa wewe ni kiongozi wa watu wasioweza kuiona njia sahihi, na nuru kwa wale walio gizani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama unatambua kuwa wewe ni kiongozi wa vipofu, na mwanga kwa wale walio gizani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama unatambua kuwa wewe ni kiongozi wa vipofu, na mwanga kwa wale walio gizani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kujua hakika ya kuwa wewe mwenyewe u kiongozi wa vipofu, mwanga wao walio gizani,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo unajiwazia mwenyewe kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga wao wakaao gizani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kujua hakika ya kuwa wewe mwenyewe u kiongozi wa vipofu, mwanga wao walio gizani,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unajiaminia kwamba wewe ni mwongozi wa vipofu na mwangaza kwa wale wanaokuwa katika giza,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)