Romans 2:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
unajiona kuwa mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa wale wasiokomaa bado. Unayo katika sheria picha kamili ya elimu na ukweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa watoto wachanga, kwa kuwa una maarifa ya kweli katika hiyo Torati,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mkufunzi wa wajinga, mwalimu wa watoto wachanga, mwenye namna ya maarifa na ya kweli katika torati;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Unafikiri unaweza kuwaonesha wajinga kilicho sahihi. Na unadhani kuwa wewe ni mwalimu wa wanaoanza kujifunza. Unayo sheria, na hivyo unadhani unajua kila kitu na una kweli yote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
unajiona kuwa mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa wale wasiokomaa bado. Unayo katika Sheria picha kamili ya elimu na ukweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
unajiona kuwa mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa wale wasiokomaa bado. Unayo katika sheria picha kamili ya elimu na ukweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa watoto wachanga, kwa kuwa una maarifa ya kweli katika hiyo sheria,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa watoto wachanga, kwa kuwa una maarifa ya kweli katika hiyo sheria,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mkufunzi wa wajinga, mwalimu wa watoto wachanga, mwenye namna ya maarifa na ya kweli katika torati;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
unajiona kuwa mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa wale wasiokomaa bado. Unayo katika sheria picha kamili ya elimu na ukweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukataka kuonya wajinga na kufundisha wachanga, kwani Maonyo yalikuwa yamekuonyesha, jinsi mtu anavyopata utambuzi na ukweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mkufunzi wa wajinga, mwalimu wa watoto wachanga, mwenye namna ya maarifa na ya kweli katika torati;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mufundisha wajinga na mwalimu wa watoto, kwa sababu kutokana na Sheria unajua uhakika juu ya mambo ya elimu na ya kweli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mkufunzi wra wajiuga, mwalimu wa watoto wachanga, mwenye namna ya maarifa na ya kweli katika torati,