Romans 2:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi wewe, uwafundishaye wengine, mbona hujifunzi mwenyewe? Wewe uhubiriye kwamba mtu asiibe, wewe mwenyewe waiba?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi wewe umfundishaye mwingine, je! Hujifundishi mwenyewe? Wewe uhubiriye kwamba mtu asiibe, waiba mwenyewe?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Unawafundisha wengine, sasa kwa nini usijifundishe wewe wenyewe? Unawaambia usiibe, lakini wewe mwenyewe unaiba.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi wewe, uwafundishaye wengine, mbona hujifunzi mwenyewe? Wewe uhubiriye kwamba mtu asiibe, wewe mwenyewe waiba?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi wewe, uwafundishaye wengine, mbona hujifunzi mwenyewe? Wewe uhubiriye kwamba mtu asiibe, wewe mwenyewe waiba?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi wewe umfundishaye mwingine, je! Hujifundishi mwenyewe? Wewe uhubiriye kwamba mtu asiibe, waiba mwenyewe?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Wewe unayefundisha mwingine, hujifundishi mwenyewe? Je? Wewe unayetangaza, wasiibe, huibi mwenyewe?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi wewe umfundishaye mwingine, je! Hujifundishi mwenyewe? Wewe uhubiriye kwamba mtu asiibe, waiba mwenyewe?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wewe unayewafundisha watu wengine, kwa sababu gani haujifundishi wewe mwenyewe? Wewe unayehubiri kwamba haifai kuiba, kwa nini unaiba?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hassi wewe umfundishae mwiugine, je! hujifimdishi nafsi yako? Wewe nkhubiriye kwamha mtu asiibe, waiba mwenyewe?