Romans 3:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote wamepotoka wote wamekosa; hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wamepotoka, wote wameoza pamoja; hakuna atendaye mema, naam, hakuna hata mmoja.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema, la! Hata mmoja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wote wamegeuka na kumwacha, na hawana manufaa kwa yeyote. Hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wote wamepotoka wote wamekosa; hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote wamepotoka wote wamekosa; hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wamegeukia mbali, wote kwa pamoja hawafai; hakuna atendaye mema, naam, hata mmoja.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wamepotoka, wote wameoza pamoja; hakuna atendaye mema, naam, hakuna hata mmoja.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema, la! Hata mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote wamepotoka wote wamekosa; hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote pamoja wamepotelewa na njia, wote ni waovu. Hakuna anayefanya mema, hakuna hata mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema, la! Hata mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wamepotea, wote kwa jumla wamepotoka. Hakuna mwenye kufanya mema, hata mumoja.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema hatta mmoja: