Romans 3:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kwa zawadi ya neema ya Mungu, watu wote hukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Yesu Kristo anayewakomboa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wanahesabiwa haki bure kwa neema yake kupitia kwa ukombozi ulio katika Al-Masihi Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu ameamuru sisi sote tufunguliwe kutoka dhambini. Zawadi hii ya neema yake imekuja kwetu kupitia kile ambacho Kristo Yesu alikifanya ili tuwe huru.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini kwa zawadi ya neema ya Mungu, watu wote hukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Yesu Kristo anayewakomboa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kwa zawadi ya neema ya Mungu, watu wote hukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Yesu Kristo anayewakomboa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wanahesabiwa haki bure kwa neema yake kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wanahesabiwa haki bure kwa neema yake kwa njia ya ukombozi ulio katika Al-Masihi Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kwa zawadi ya neema ya Mungu, watu wote hukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Yesu Kristo anayewakomboa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wanapata wongofu bure tu, kwani ni gawio, Yesu Kristo alilowapatia hapo, alipoyalipa makombozi yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kwa neema ya Mungu wanahesabiwa haki kwa bure kwa njia ya Kristo Yesu anayewakomboa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wanapewa haki burre kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Yesu Kristo: