Romans 3:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Au je, Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu, ama pia wa watu wa mataifa mengine? Naam, wa watu wa mataifa mengine pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, Mungu ni Mungu wa Wayahudi peke yao? Je, yeye si Mungu wa watu wa Mataifa pia? Naam, yeye ni Mungu wa watu wa Mataifa pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au je! Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu? Siye Mungu wa Mataifa pia? Naam, ni Mungu wa Mataifa pia;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, mnadhani kuwa Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu? Je, yeye si Mungu wa watu wengine pia? Ndiyo, yeye ni Mungu wa wasio Wayahudi pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Au je, Mungu nu Mungu wa Wayahudi tu, ama pia wa watu wa mataifa mengine? Naam, wa mataifa mengine pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Au je, Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu, ama pia wa watu wa mataifa mengine? Naam, wa watu wa mataifa mengine pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, Mungu ni Mungu wa Wayahudi peke yao? Je, yeye si Mungu wa watu Mataifa pia? Naam, yeye ni Mungu wa watu Mataifa pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, Mungu ni Mungu wa Wayahudi peke yao? Je, yeye si Mungu wa watu wa Mataifa pia? Naam, yeye ni Mungu wa watu wa Mataifa pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au je! Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu? Siye Mungu wa Mataifa pia? Naam, ni Mungu wa Mataifa pia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Au je, Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu, ama pia wa watu wa mataifa mengine? Naam, wa watu wa mataifa mengine pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au je? Mungu ni Mungu wao Wayuda tu? Siye Mungu wa wamizimu nao? Kweli, ni Mungu wa wamizimu nao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au je! Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu? Siye Mungu wa Mataifa pia? Naam, ni Mungu wa Mataifa pia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Au Mungu ni Mungu wa Wayuda tu? Yeye si Mungu wa watu wa mataifa mengine vilevile? Ndiyo, yeye ni Mungu wa watu wa mataifa mengine vilevile,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Au Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu? Siye Mungu wa mataifa pia? Naam, wa mataifa pia;