Romans 4:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tuseme nini basi, juu ya Abrahamu baba yetu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tuseme nini basi, kuhusu Ibrahimu baba yetu kwa jinsi ya mwili: yeye alipataje kujua jambo hili?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, tusemeje juu ya Ibrahimu, baba yetu kwa jinsi ya mwili?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Basi tuseme nini kuhusu Ibrahimu, baba wa watu wetu?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tuseme nini basi, juu ya Abrahamu baba yetu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tuseme nini basi, juu ya Abrahamu baba yetu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tuseme nini basi, kuhusu Abrahamu baba yetu kwa jinsi ya mwili, yeye alipataje kujua jambo hili?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tuseme nini basi, kuhusu Ibrahimu baba yetu kwa jinsi ya mwili: yeye alipataje kujua jambo hili?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, tusemeje juu ya Abrahamu, baba yetu kwa jinsi ya mwili?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tuseme nini basi, juu ya Abrahamu baba yetu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, tusemeje? Aburahamu, baba yetu wa kale, kimtu ameonaje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, tusemeje juu ya Ibrahimu, baba yetu kwa jinsi ya mwili?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi tuseme nini juu ya babu yetu Abrahamu? Nini iliyomutokea?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
BASSI, tusemeje? Ibrahimu baba yetu kwa jinsi ya mwili amepata nini?