Romans 4:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana kama watakaopewa hayo aliyoahidi Mungu ni wale tu wanaoitii sheria, basi, imani haina maana yoyote, nayo ahadi ya Mungu si kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana ikiwa wale wanaoishi kwa sheria ndio warithi, imani haina thamani na ahadi haifai kitu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ikiwa wale wa sheria ndio warithi, imani imekuwa bure, na ahadi imebatilika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wa Mungu watarithi yote ambayo Mungu alimwahidi Ibrahimu, lakini si kwa sababu wanaifuata sheria. Ikiwa ni lazima tuitii sheria ili tupate kile alichoahidi Mungu, badi imani ya Ibrahimu haina maana yoyote na ahadi ya Mungu haina manufaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana kama watakaopewa hayo aliyoahidi Mungu ni wale tu wanaoitii Sheria, basi, imani haina maana yoyote, nayo ahadi ya Mungu si kitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana kama watakaopewa hayo aliyoahidi Mungu ni wale tu wanaoitii sheria, basi, imani haina maana yoyote, nayo ahadi ya Mungu si kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ikiwa wale waishio kwa sheria ndio warithi, imani haina thamani na ahadi haifai kitu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana ikiwa wale waishio kwa sheria ndio warithi, imani haina thamani na ahadi haifai kitu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ikiwa wale wa sheria ndio warithi, imani imekuwa bure, na ahadi imebatilika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana kama watakaopewa hayo aliyoahidi Mungu ni wale tu wanaoitii sheria, basi, imani haina maana yoyote, nayo ahadi ya Mungu si kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama wenye kuyafuata Maonyo wangekuwa nao warithi, kumtegemea Mungu kungekuwa kwa bure, tena kile kiagio nacho kingekuwa kimekwisha kutanguliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ikiwa wale wa sheria ndio warithi, imani imekuwa bure, na ahadi imebatilika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana ikiwa wale wanaotii Sheria ndio watakaopokea kitu anachoahidi, basi imani haina mafaa yoyote, nayo ahadi ya Mungu ni bure.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana ikiwa wale wa sharia ndio warithi, imani imekuwa burre, na ahadi imebatilika.