Romans 4:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna sheria, haiwezekani kuivunja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu sheria huleta ghadhabu. Mahali ambapo hakuna sheria, hakuna makosa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu sheria ndiyo ifanyayo hasira; maana pasipokuwapo sheria, hapana kosa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninasema hivi kwa sababu sheria ndiyo huleta hasira ya Mungu kwa wale wasioitii. Lakini ikiwa sheria haipo, basi hakuna hatia ya kutoitii.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna Sheria, haiwezekani kuivunja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna sheria, haiwezekani kuivunja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu sheria huleta ghadhabu. Mahali ambapo hakuna sheria hakuna makosa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu sheria huleta ghadhabu. Mahali ambapo hakuna sheria hakuna makosa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu sheria ndiyo ifanyayo hasira; maana pasipokuwapo sheria, hapana kosa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna sheria, haiwezekani kuivunja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Maonyo huleta makali tu; lakini pasipo Maonyo hata kuyakosea hakuna.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu sheria ndiyo ifanyayo hasira; maana pasipokuwapo sheria, hapana kosa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu Sheria inaamusha kasirani ya Mungu. Lakini Sheria haingekuwa, kuvunja Sheria hakungekuwa vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu sharia ndiyo ifanyayo hasira; maana pasipo sharia, hapana kosa.