Romans 4:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alijua kwamba Mungu anaweza kuyatekeleza yale aliyoahidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akiwa na hakika kabisa kwamba Mungu alikuwa na uwezo wa kutimiza lile aliloahidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
huku akijua hakika ya kuwa Mungu aweza kufanya yale aliyoahidi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na alikuwa na uhakika kuwa Mungu anaweza kutenda alichoahidi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alijua kwamba Mungu anaweza kuyatekeleza yale aliyoahidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alijua kwamba Mungu anaweza kuyatekeleza yale aliyoahidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akiwa na hakika kabisa kwamba Mungu alikuwa na uwezo wa kutimiza lile aliloahidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akiwa na hakika kabisa kwamba Mungu alikuwa na uwezo wa kutimiza lile aliloahidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
huku akijua hakika ya kuwa Mungu aweza kufanya yale aliyoahidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alijua kwamba Mungu anaweza kuyatekeleza yale aliyoahidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana aliyashika moyoni, aliyoyatambua ya kuwa: Yeye ana nguvu ya kuyatimiza, aliyoyaagia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
huku akijua hakika ya kuwa Mungu aweza kufanya yale aliyoahidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alifanya vile kwa sababu alijua hakika kwamba yule aliyetoa ahadi ile yuko na uwezo wa kuitimiza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akijua hakika ya kuwa Mungu aweza kufanya yale aliyoahidi.