Romans 4:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inaposemwa, “Alimkubali,” haisemwi kwa ajili yake mwenyewe tu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maneno haya “ilihesabiwa kwake kuwa haki,” hayakuandikwa kwa ajili yake peke yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini haikuandikwa kwa ajili yake tu kwamba ilihesabiwa kwake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Maneno haya, “alikubaliwa”, yaliandikwa siyo tu kwa ajili ya Ibrahimu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Inaposemwa, “Alimkubali,” haisemwi kwa ajili yake mwenyewe tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inaposemwa, “Alimkubali,” haisemwi kwa ajili yake mwenyewe tu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maneno haya “ilihesabiwa kwake kuwa haki,” hayakuandikwa kwa ajili yake peke yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maneno haya “ilihesabiwa kwake kuwa haki,” hayakuandikwa kwa ajili yake peke yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini haikuandikwa kwa ajili yake tu kwamba ilihesabiwa kwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inaposemwa, “Alimkubali,” haisemwi kwa ajili yake mwenyewe tu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hilo halikuandikwa kwa ajili yake tu, ya kuwa ndivyo, alivyowaziwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini haikuandikwa kwa ajili yake tu kwamba ilihesabiwa kwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini maneno hayo “alihesabiwa kuwa mwenye haki” hayakuandikwa kwa ajili yake yeye mwenyewe,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Walakini haikuandikwa kwa ajili yake tu kwamba ilihesabiwa kwake,