Romans 4:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maana, Maandiko Matakatifu yasema: “Abrahamu alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Maandiko yasemaje? “Ibrahimu alimwamini Mungu, na ikahesabiwa kwake kuwa haki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana maandiko yasemaje? Ibrahimu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa haki.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hili ni wazi kama Maandiko yanavyosema, “Ibrahimu alimwamini Mungu, na kwa sababu ya kuamini kwake, Mungu alimhesabu kuwa mwenye haki.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa maana, Maandiko Matakatifu yasema: “Abrahamu alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maana, Maandiko Matakatifu yasema: “Abrahamu alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana Maandiko yasemaje? “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana Maandiko yasemaje? “Ibrahimu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Maandiko yasemaje? Abrahamu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maana, Maandiko Matakatifu yasema: “Abrahamu alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Maandiko yanasemaje? Aburahamu alimtegemea Mungu, kwa hiyo aliwaziwa kuwa mwenye wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana maandiko yasemaje? Ibrahimu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana Maandiko Matakatifu yanasema: “Abrahamu alimwamini Mungu na kwa hiyo akahesabiwa kuwa mwenye haki.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana maandiko yasemaje? Ibrabimu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa haki.