Romans 4:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Daudi asema hivi juu ya furaha ya mtu yule ambaye Mungu amemkubali kuwa mwadilifu bila kuyajali matendo yake:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi pia alisema vivyo hivyo aliponena kuhusu baraka za mtu ambaye Mungu humhesabia haki pasipo matendo:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama vile Daudi aunenavyo uheri wake mtu yule ambaye Mungu amhesabia kuwa na haki pasipo matendo,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Daudi alisema mambo hayo hayo alipozungumzia baraka wanazopata watu pale Mungu anapowahesabia haki pasipo kuangalia matendo yao:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye Daudi asema hivi juu ya furaha ya mtu ambaye Mungu amemkubali kuwa mwadilifu bila kuyajali matendo yake:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Daudi asema hivi juu ya furaha ya mtu yule ambaye Mungu amemkubali kuwa mwadilifu bila kuyajali matendo yake:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi pia alisema vivyo hivyo aliponena juu ya baraka za mtu ambaye Mungu humhesabia haki pasipo matendo:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi pia alisema vivyo hivyo aliponena juu ya baraka za mtu ambaye Mungu humhesabia haki pasipo matendo:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama vile Daudi ainenavyo heri yake mtu yule ambaye Mungu amhesabia kuwa na haki pasipo matendo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Daudi asema hivi juu ya furaha ya mtu yule ambaye Mungu amemkubali kuwa mwadilifu bila kuyajali matendo yake:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, anavyosema hata Dawidi kwa kumshangilia mtu, Mungu amwaziaye kuwa mwenye wongofu, ijapo asiyatimize Maonyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile Daudi aunenavyo uheri wake mtu yule ambaye Mungu amhesabia kuwa na haki pasipo matendo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ni vile Daudi anavyosema juu ya uheri wa mutu ambaye Mungu anayehesabia haki pasipo kuangalia matendo yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama vile Daud aunenavyo ukheri wake mtu yule ambae Mungu amhesabia kuwa na haki pasipo matendo;