Romans 4:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Heri wale waliosamehewa makosa yao ambao makosa yao yamefutwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wamebarikiwa wale ambao wamesamehewa makosa yao, ambao dhambi zao zimefunikwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri waliosamehewa makosa yao, Na waliositiriwa dhambi zao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Ni heri kwa watu wanaposamehewa kutokana na mabaya waliyotenda, dhambi zao zinapofutwa!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Heri wale waliosamehewa makosa yao ambao makosa yao yamefutwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Heri wale waliosamehewa makosa yao ambao makosa yao yamefutwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wamebarikiwa wale ambao uovu wao umesamehewa ambao dhambi zao zimefutwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wamebarikiwa wale ambao wamesamehewa makosa yao, ambao dhambi zao zimefunikwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri waliosamehewa makosa yao, Na waliositiriwa dhambi zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Heri wale waliosamehewa makosa yao ambao makosa yao yamefutwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Wenye shangwe ndio walioondolewa mapotovu nao waliofunikwa makosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri waliosamehewa makosa yao, Na waliositiriwa dhambi zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Heri wale waliosamehewa makosa yao, nazo zambi zao zimefutwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wa kheri waliosamehewa maasi yao, Na waliosetiriwa dhambi zao.